Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 519
- 1,246
Wakuu kwema?
Majuzi nilipita njia hii nikienda kuswampa Saba Saba, wakati wa kurudi ndio nikaona changamoto hii, barabara eneo hili zimekaa vibaya sana, kama siyo mwenyeji ni rahisi sana kusababisha ajali.
Hakuna mataa ya kuongozea magari, hivyo magari yanaenda hovyo kila mtu akiwa na lengo la kuwahi kuliko mwenzake, ukisogea mbele kama waelekea karume nako taa za barabarani zipo lakini hazifanyi kazi!
Eneo hili pia linachochea sana wizi. kwa kigiza kile ukabwa vizuri tu na mwizi hata hakimbii kwa presha. Mwenyeji wa barabara hiyo alisema haipiti wiki bila eneo hilo kuokea ajali au wizi, kama siyo magari kusuguana basi kuna mtu kapitiwa na gari. Mamlaka husika fanyieni kazi eneo hili.
Pia soma: Pongezi kwa barabara ya Kilwa kuwekewa taa za kuongozea magari