johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,178
- 164,679
Jana jioni natoka Dar kuja Msata Vituo vingi sana vilikuwa havina Diesel wala Petrol
Leo asubuhi Vituo Vyote vinasoma Mafuta yapo na bei ya Mkoa wa Tanga
Ndio nashangaa haya Mafuta yameshusbwa Usiku wa manane?
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Leo asubuhi Vituo Vyote vinasoma Mafuta yapo na bei ya Mkoa wa Tanga
Ndio nashangaa haya Mafuta yameshusbwa Usiku wa manane?
Kidumu Chama cha Mapinduzi!