Bara la Afrika linahitaji sheria,katiba na Dini zao kulingana na ASILI ZAO

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
1,466
1,407
Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni?

Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha wakoloni,tunakumbatia kuoa mke mmoja,nk.

Ni wajibu sasa kuunda mifumo yetu ya kisheria,dini,katiba,nk
 
Back
Top Bottom