Bango la siku katika sherehe za Mei Mosi kitaifa hapa Dodoma

Mama Majaliwa alikuwa Idara ya Ualimu Manispaa ya Temeke. Na alikuwa upande wa Ukaguzi au TSD.
 
Inauma sana Rais wa vyama vya wafanyakazi kutoa hoja dhaifu namna hiyo badala ya kukunja uso na kudai masilahi ya walimu na watumishi wengine. Mkoba umechemsha sana.
 
Hakuna watu wapuuzi nchi hii kama walimu. Hawa ndio wanaoisapoti CCM kila mara, ikishaingia madarakani wao ndio wa kwanza kuanza kulalamika!
Wewe hupaswi kuiponda CCM hata kidogo. Una muda gani tangu uondoke CCM kumfuata yule aliyekatwa?
 
Hakuna watu wapuuzi nchi hii kama walimu. Hawa ndio wanaoisapoti CCM kila mara, ikishaingia madarakani wao ndio wa kwanza kuanza kulalamika!
misukule ya ccm ya nafurahi siku 7 katika miaka 5 yaani yakishapewa kanga na sukari kilo 1 basi wanahanza kumba ccm ccm ccm baada ya hapo ni maumivu kwa kwenda mbele.hakunamshaara na matatizo chungu mzima.

swissme
 
Hakuna watu wapuuzi nchi hii kama walimu. Hawa ndio wanaoisapoti CCM kila mara, ikishaingia madarakani wao ndio wa kwanza kuanza kulalamika!
Wewe ni lipuuzi kupita upuuzi wenyewe, nijuavyo wewe ni muumini wa mtu na sio chama, ulitoka ccm juzi kumfuata lowassa na sio kuifuata cdm, leo unatatizo gani na ccm? sio simba na yanga hii
 
Hakuna watu wapuuzi nchi hii kama walimu. Hawa ndio wanaoisapoti CCM kila mara, ikishaingia madarakani wao ndio wa kwanza kuanza kulalamika!
Si vema kuwatusi walimu!
Ccm walipata kura mil 8 yaani wao ndio wengi hivyo?
Ok, mlikuja na package gani ya kumshawishi Mwalimu?
Au ndio mchaguliwe tu hata mkiweka jiwe?
Usisahau hata Lowasa ni Mwl, inawezekana naye aliipigia kura ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…