Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,462
- 2,235
Habari wakuu poleni na majukumu ya kujenga taifa, katika utafutaji wa maisha kuna story kitaa kuwa izi bangili za shaba zina miujiza.
Nimekuja kwenu wakuu ili kujua hili lina ukweli na je hii shaba inatumikaje mpaka kuleta miujiza. Mwenye elimu yoyote na uelewa wa hii kitu anaweza Ku share nasi.