Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,862
4,090
Salam kwenu.

Kufuatia changamoto ya internet tunayoendelea kuipata niiombe TCRA kuyaagiza makampuni yote yanayotoa huduma za internet.

1. Kufidia wateja wote kwa kurejesha bando zilizolika ama ku expire kipindi hiki cha tufani la internet.

2. Vifurushi vyote vya internet sasa visiwe na ukomo wa muda, badala yake ziishe kadiri ya matumizi tu.

3. Kuiruhusu starlink Elon Musk.

====
Pia soma:

-
Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania
- Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
 
Naunga mkono hojaaa ....ila sidhani hata waziri kama hajui hii kitu ila anatufanyia kusudi tuu kwa vile wao mpaka mabando wanawekewa so hizo kelele zetu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaa...hawajui tu 2100, ilivuokuaa ngumu kitaa
 
Salam kwenu.

Kufuatia changamoto ya internet tunayoendelea kuipata niiombe TCRA kuyaagiza makampuni yote yanayotoa huduma za internet.

1. Kufidia wateja wote kwa kurejesha bando zilizolika ama ku expire kipindi hiki cha tufani la internet.

2. Vifurushi vyote vya internet sasa visiwe na ukomo wa muda, badala yake ziishe kadiri ya matumizi tu.

3. Kuiruhusu starlink Elon Musk.

====
Pia soma:

-
Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania
- Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
si ndivyo ilivyo.....
weka pesa yako kwenye cm tumia uwezavyo bila kikomo....

ukiingia kwenye vifurushi tu,
ujue hizo ni huduma za ziada. ukiridhika na vigezo na masharti jiunge, ukiona unaibiwa bas baki njia kuu na pesa yako itafunwe upendavyo bila masharti na bila ukomo 🐒
 
Back
Top Bottom