K K 4 LIFE JF-Expert Member Jul 21, 2015 2,567 416 Apr 7, 2016 #1 Wakuu zile ban zimepotelea wapi? au nazo zilikua jipu? enzi zile ban zilikua kama sifa mi mwaka jana nilikula ban 35, au zinamuogopa magu? ban baaaaan nimekumis ban
Wakuu zile ban zimepotelea wapi? au nazo zilikua jipu? enzi zile ban zilikua kama sifa mi mwaka jana nilikula ban 35, au zinamuogopa magu? ban baaaaan nimekumis ban
idoyo JF-Expert Member Jan 13, 2013 3,050 1,406 Apr 7, 2016 #2 hahahah! pumzika salama. wenyewe wamekusoma!
Mkomavu JF-Expert Member Jan 25, 2016 11,753 16,777 Apr 7, 2016 #3 Hizo BAN zilinifanya nisuse ID na kutengeneza nyingine ila kelele zetu makapuku kupitia rais wetu bitoz zimesaidia kupunguza BAN
Hizo BAN zilinifanya nisuse ID na kutengeneza nyingine ila kelele zetu makapuku kupitia rais wetu bitoz zimesaidia kupunguza BAN
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,550 Apr 8, 2016 #4 melkiorysaranga said: Hizo BAN zilinifanya nisuse ID na kutengeneza nyingine ila kelele zetu makapuku kupitia rais wetu bitoz zimesaidia kupunguza BAN Click to expand... Tuna lalamiko letu kule jukwaa LA malalamiko toka jana MODS wameingia mitini ....makapuku wamekinukisha
melkiorysaranga said: Hizo BAN zilinifanya nisuse ID na kutengeneza nyingine ila kelele zetu makapuku kupitia rais wetu bitoz zimesaidia kupunguza BAN Click to expand... Tuna lalamiko letu kule jukwaa LA malalamiko toka jana MODS wameingia mitini ....makapuku wamekinukisha
sizzya007 JF-Expert Member Mar 15, 2016 771 2,415 Apr 8, 2016 #5 Nahisi nami nilikuwa mhanga mkubwa wa ban asee!! Ila ban zilikuwa moto kipindi cha uchaguzi. Siku hizi full kula moisture tu.
Nahisi nami nilikuwa mhanga mkubwa wa ban asee!! Ila ban zilikuwa moto kipindi cha uchaguzi. Siku hizi full kula moisture tu.