Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,880
6,367
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani

Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya kibinadamu ikiwemo ukatili wa kingono. Akizungumza moja kwa moja na Nebenzia wakati akitoka nje, Kiongozi huyo alisema, "Unaweza kutoka nje, huenda ni rahisi zaidi kutosikiliza ukweli"

Nebenzia amenukuliwa akisema alishindwa kuendelea kukaa kwenye kikao hicho kwasababu ya uongo uliokuwa ukisambazwa dhidi ya Taifa lake

========

Russia's U.N. Ambassador Vassily Nebenzia stormed out of a U.N. Security Council meeting on Monday as European Council President Charles Michel addressed the 15-member body and accused Moscow of fueling a global food crisis with its invasion of Ukraine.

Michel had also accused Russian troops of war crimes and crimes against humanity, specifically citing reports of sexual violence - the focus of the Security Council meeting - and describing it as "a tactic of torture, terror and repression."

During his own statement earlier in the meeting, Nebenzia had "categorically refuted" any accusations of sexual violence by Russian soldiers, condemning what he said was a "lie."

As he left the Security Council chamber during Michel's statement, a visibly irritated Nebenzia told Reuters: "I couldn't stay" because of "the lies that Charles Michel came here to distribute."

Speaking directly to Nebenzia as he walked out, Michel said: "You may leave the room, maybe it's easier not to listen to the truth."

Russia's Feb. 24 invasion of Ukraine has fueled a global food crisis with prices for grains, cooking oils, fuel and fertilizer soaring. Russia and Ukraine account for nearly a third of global wheat supplies, while Russia is also a fertilizer exporter and Ukraine is an exporter of corn and sunflower oil.

"Mr. Ambassador of the Russian Federation, let's be honest, the Kremlin is using food supplies as a stealth missile against developing countries," Michel said in the Security Council. "Russia is solely responsible for this food crisis."

U.N. Secretary-General Antonio Guterres is trying to broker what he calls a "package deal" to resume Ukrainian food exports and Russian food and fertilizer exports. Russian Foreign Minister Sergei Lavrov is due to visit Turkey on Wednesday to discuss unlocking grain exports from Ukraine.

Source: Reuters
 
Hivi mnaoshabikia, hebu nipeni sababu moja ya msingi ya kufurahia yanayoendelea Ukraine? Kwa sababu yoyote ile, Russia haina sababu ya msingi ya kuisambaratisha Ukraine na kuua raia wengi namna hiyo eti kuonyesha nguvu zake. Hata akishinda hii vita, atamtawala nani na nchi gani, ambapo kila kitu kitakuwa chini. Pia wanajeshi kibao wa urusi wamepoteza maisha, nyie mnashangilia tu! Shame!
 
Muulize USA Rusia angeenda kuweka silaha pale Cuba yeye Marekani angekubalii ndyo ujue hii dunia kuna wakubwa na lazima waheshimiwe sasa wewe mdogo ukijifanya kimbelembele ndyo kilichoikuta ukrein
 
Mi nazani kama wanakufa si ndio furaha na ushindi kwa Ukraine shangilia bila Julia aisee dawa inavoingia unaihisi kabisa
 
Muulize USA Rusia angeenda kuweka silaha pale Cuba yeye Marekani angekubalii ndyo ujue hii dunia kuna wakubwa na lazima waheshimiwe sasa wewe mdogo ukijifanya kimbelembele ndyo kilichoikuta ukrein
halafu jamaa kajiona ana akili kinoma anazani wamevamia tu. Yaani mtoto anadanganywa na mkubwa akamvue suruali ya adui yake ili aibike matokeo yake ndio haya ni kumnyoosha.
 
Back
Top Bottom