Balozi wa Norway nchini Tanzania, utaondoka wewe CCM utaiacha Tanzania

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
SALAMU HIZI ZIMFIKIE BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA, ATAONDOKA YEYE CCM ATAIACHA HAPA HAPA

Balozi wa Nowary nchini Tanzania Ms Hanne Marie Kaastard ana bidii na juhudi ya kuhakikisha anasimamia kuona CUF inatawala Zanzibar. Huo ndio msimamo wa nchi yake wa muda mrefu. Haipendi CCM wala haipendi SMZ. Sera za Norway kwa Zanzibar zinajulikana tangu asubuhi.

Hastaajabishi kusikia kwamba kaenda ofisi za CUF na kuonana na Mazroui na Jussa hili Gazeti lililotoa hii habari nafikiri mwandishi wake anatumika kuweka DRIP za lala salama. kutia hofu na shauku ya kujua nini kimeongelewa. Sisi tunasema hatuna haja ya kujua Perpetrators kama Balozi wa Norway nini kasema au kateta na CUF.

Anakuja Zanzibar kila siku na kwenda hadi nyumbani kwa Maalim Seif. Kila siku anaonekana mahotelini Serena na Hyatt na akina Jussa. lunch, dinner and even for coffee meetings.Mugabe ameshawapa salam zao juzi. They should shush their mouths kwa issues ya CCM kutawala.

Na sisi tunawaambia Norway na maajent wao wengine hatuhitaji wao waje watuambie nini tufanye. tuna katiba yetu. tuna sheria zetu na tuna uhuru wetu.Tuna maamuzi yetu, kama mtu kasusa katiba inamruhusu kumpa uhuru wake wa kufanya na kutofanya anachotaka.

Norway na wenzako punguzeni speed kwa Zanzibar, mnalolitaka kwa Zanzibar mmeshalikosa. si mafuta si gesi si political recognition havipo. Yale ya 1995 mlipopata fursa ya kutupanda kichwani sasa ulimwengu umebadilika.

Endeleeni kuwabeba wapinzani wa CCM kuanzia nyinyi wenyewe kama Ubalozi hapa Tanzania bali hata NGOs zenu feki za Ki Norway mlizoanzisha hapa Tanzania na Zanzibar kwa kisingizio cha kusadia jamii kumbe mna ajenda zenu.Norway timewashtukia mchana kweupe.Salaam tunajua zitawafika kupitia kwa Daily Paid vibaraka wenu mliowaweka Zanzibar.

Ahsante

Mtandao wa wanyonge waliowengi Zanzibar

=========
UPDATE:

Ubalozi wa Norway wafafanua safari Zanzibar

Mwananchi | 2016-02-04

Dar es Salaam. Ubalozi wa Norway nchini umetoa ufafanuzi kuwa balozi wake, Hanne-Marie Kaarstad hakutembelea wala kuzungumza na viongozi wa CUF Zanzibar, bali aliyefanya hivyo ni ofisa mmoja wa ubalozi ambaye alitembelea visiwa hivyo na kuwajulia hali viongozi wa vyama vya CUF na CCM.

Taarifa iliyotolewa jana na ofisa mwambata wa ubalozi huo anayeshughulikia masuala ya utawala na siasa, Victor Mlunde ilisema ofisa huyo ambaye hakutajwa jina, alitembelea Zanzibar mapema wiki hii na kuwajulia hali Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Vuai Ali Vuai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Mazrui akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chama hicho cha upinzani, Ismail Jussa Ladhu.

Mlunde alisema katika taarifa hiyo kuwa mikutano ya namna hii ni sehemu ya shughuli za kawaida za kidiplomasia.

Alifafanua kuwa, “Balozi Kaarstad hajatembelea Zanzibar wala viongozi wa chama chochote wiki hii wala iliyopita. Ubalozi wa Ufalme wa Norway unapenda kukanusha hiyo habari kwa kuwa si sahihi.”

Taarifa hiyo ilikuwa inafafanua habari iliyochapishwa na gazeti hili jana ikisema balozi huyo ndiye aliyetembelea Zanzibar juzi na kufanya mazungumzo na viongozi hao wa CUF.

Kutokana na kujiridhisha kuwa balozi huyo hakutembelea CUF ila ni ofisa wake ambaye alikwenda katika vyama vyote viwili, Mwananchi linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kutokana na upungufu wa habari hiyo.
 
CUF haikuwahitaji Wazungu kushinda uchaguzi Zanzibar, iliwahitaji Wazanzibar wenyewe kufanikisha lengo hilo jambo ndilo lililotokea,Wazanzibar wakaenda ktk ballot boxes, baadhi wakachagua CCM na wengine wakachagua CUF,kama ilivyo kawaida ya demokrasia kwamba walio wengi siku zote huwa ndio washindi,so Wazanzibar kwa wingi wao wakamchagua Maalim Sief kuwa rais wao,mkaamua mumpore ushindi kupitia kibaraka wenu Jecha,Wazungu sio wapumbafu,wameona kila kitu,sasa wameamua kusimama upande wa mshindi (Maali Seif) mnaanza kung'aka.CCM hamjazowea mikimiki ya kisiasa hivyo mjiandae sasa,in fact kuna kila dalili kwamba nchi inaelekea huko sasa,ndio maana Shein ameanza kupiga mikwala,ukiona mtu anapiga sana mikwara ujue huyo ni mwoga mkubwa ila anafanya hivyo kuficha madhaifu yake.Ukweli ni kwamba CCM Bara na Visiwani wameanza kutishwa.
SALAMU HIZI ZIMFIKIE BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA, ATAONDOKA YEYE CCM ATAIACHA HAPA HAPA

Balozi wa Nowary nchini Tanzania Ms Hanne Marie Kaastard ana bidii na juhudi ya kuhakikisha anasimamia kuona cuf inatawal Zanzibar. Huo ndio msimamo wa nchi yake wa muda mrefu. Haipendi CCM wala haipendi SMZ. Sera za Norway kwa Zanzibar zinajulikana tangu asubuhi. Hastaajabishi kusikia kwamba kaenda ofisi za CUf na kuonana na Mazroui na Jussa. Hili Gazeti lililotoa hii habari nafikiri mwandishi wake anatumika kuweka DRIP za lala salama. kutia hofu na shauku ya kujua nini kimeongelewa. Sisi tunasema hatuna haja ya kujua Perpetrators kama Balozi wa Norway nini kasema au kateta na cuf. Anakuja Zanzibar kila siku na kwenda hadi nyumbani kwa Maalim Seif. Kila siku anaonekana mahotelini serena na hyatt na akina Jussa. lunch, dinner and even for coffee meetings.
Mugabe ameshawapa salam zao juzi. They should shush their mouths kwa issues ya ccm kutawala.

Na sisi tunawaambia Norway na maajent wao wengine hatuhitaji wao waje watuambie nini tufanye. tuna katiba yetu. tuna sheria zetu na tuna uhuru wetu.
Tuna maamuzi yetu, kama mtu kasusa katiba inamruhusu kumpa uhuru wake wa kufanya na kutofanya anachotaka.
Norway na wenzako punguzeni speed kwa Zanzibar, mnalolitaka kwa Zanzibar mumeshalikosa. si mafuta si gesi si political recognition havipo. Yale ya 1995 mlipopata fursa ya kutupanda kichwani sasa ulimwengu umebadilika.
Endeleeeni kuwabeba wapinzani wa ccm kuanzia nyinyi wenyewe kama Ubalozi hapa Tanzania bali hata NGOs zenu feki za Ki Norway mlizoanzisha hapa Tanzania na Zanzibar kwa kisingizio cha kusadia jamii kumbe mna ajenda zenu.
Norway timewashtukia mchana kweupe.
Salaam Tunajua Zitawafika kupitia kwa Daily Paid Vibaraka wenu mliowaweka Zanzibar
Ahsante

Mtandao wa Wa Wanyonge Waliowengi
Zanzibar
 
Futeni mfumo wa vyama vingi zanzibar maana humuuwezi
 
Watanzania may brace for the worst. Matokeo ya jitihada za Rais Magufuli kuimarisha uchumi zitamezwa na Zanzibar political mediocrity. Itabidi Tanzania bara kuilisha na kuitunza SMZ kwa kila kitu.
 
Weee weee weee wee !nchi yenye https://jamii.app/JFUserGuide country tutaikimbiza muda sio mrefu
 
SALAMU HIZI ZIMFIKIE BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA, ATAONDOKA YEYE CCM ATAIACHA HAPA HAPA

Balozi wa Nowary nchini Tanzania Ms Hanne Marie Kaastard ana bidii na juhudi ya kuhakikisha anasimamia kuona cuf inatawal Zanzibar. Huo ndio msimamo wa nchi yake wa muda mrefu. Haipendi CCM wala haipendi SMZ. Sera za Norway kwa Zanzibar zinajulikana tangu asubuhi. Hastaajabishi kusikia kwamba kaenda ofisi za CUf na kuonana na Mazroui na Jussa. Hili Gazeti lililotoa hii habari nafikiri mwandishi wake anatumika kuweka DRIP za lala salama. kutia hofu na shauku ya kujua nini kimeongelewa. Sisi tunasema hatuna haja ya kujua Perpetrators kama Balozi wa Norway nini kasema au kateta na cuf. Anakuja Zanzibar kila siku na kwenda hadi nyumbani kwa Maalim Seif. Kila siku anaonekana mahotelini serena na hyatt na akina Jussa. lunch, dinner and even for coffee meetings.
Mugabe ameshawapa salam zao juzi. They should shush their mouths kwa issues ya ccm kutawala.

Na sisi tunawaambia Norway na maajent wao wengine hatuhitaji wao waje watuambie nini tufanye. tuna katiba yetu. tuna sheria zetu na tuna uhuru wetu.
Tuna maamuzi yetu, kama mtu kasusa katiba inamruhusu kumpa uhuru wake wa kufanya na kutofanya anachotaka.
Norway na wenzako punguzeni speed kwa Zanzibar, mnalolitaka kwa Zanzibar mumeshalikosa. si mafuta si gesi si political recognition havipo. Yale ya 1995 mlipopata fursa ya kutupanda kichwani sasa ulimwengu umebadilika.
Endeleeeni kuwabeba wapinzani wa ccm kuanzia nyinyi wenyewe kama Ubalozi hapa Tanzania bali hata NGOs zenu feki za Ki Norway mlizoanzisha hapa Tanzania na Zanzibar kwa kisingizio cha kusadia jamii kumbe mna ajenda zenu.
Norway timewashtukia mchana kweupe.
Salaam Tunajua Zitawafika kupitia kwa Daily Paid Vibaraka wenu mliowaweka Zanzibar
Ahsante

Mtandao wa Wa Wanyonge Waliowengi
Zanzibar
BAKWATA ndio wanaoipenda Zanzibar?
 
.Norway timewashtukia mchana kweupe.Salaam tunajua zitawafika kupitia kwa Daily Paid vibaraka wenu mliowaweka Zanzibar.

Ahsante

Mtandao wa wanyonge waliowengi Zanzibar

Kwa taarifa yako Norway haina njaa kama USA na UK!
Wanawasaidia w.p kama ninyi ili future ya Wajukuu zenu zisiwe kama Irag na Syria mara mtakapo kuwa Pemba vs Unguja kupitia kwa Sera ya CCM unayoisifia wakati huo CCM itakuwa tumeshaizika Tanganyika!
 
Ray Jay whatever punguza moyowe google Norad electrification Zanzibar ndio utajua umuhimu wa development partners. Norway ndio wanafadhili kukamilisha ujenzi hospitali mnazi mmoja, ujenzi ambao ulisimama miaka mingi kukosa ufadhili.
 
Back
Top Bottom