Balozi Hoyce: Nilimfahamu DKT. Ndugulile alipotuongoza Kwenye Timu ya Kampeni za Dkt. Tulia PhD kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,985
170,058
Balozi Hoyce Temu aliyepo Geneva amesema Dkt. Ndugulile alikuwa Mtu mwenye misimamo na aliyelisaidia Taifa katika mambo mengi Bila mbwembwe

Temu amesema alimjua Dr Ndugulile walipokuwa kwenye Timu ya Kampeni ya Spika Dr Tulia PhD alipokuwa anagombea Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani

Temu anasema katika Timu ya Kampeni ya Spika Dr Tulia Mchango wa marehemu Ndugulile ulikuwa usio na mfano, alifanya kila aliloweza hadi tukaibuka Washindi

Ahsanteni Sana 😃
 
Back
Top Bottom