haszu JF-Expert Member Oct 10, 2017 1,049 2,518 Yesterday at 5:16 PM #1 Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
Chakorii JF-Expert Member Jul 11, 2015 18,778 51,468 Yesterday at 7:09 PM #2 Nimejiandalia buku na jero mkuu
Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,671 12,209 Yesterday at 7:12 PM #3 Huo ndo mshahara wangu wa mwezi mzima
haszu JF-Expert Member Oct 10, 2017 1,049 2,518 Yesterday at 9:12 PM Thread starter #5 Lumbi9 said: Huo ndo mshahara wangu wa mwezi mzima Click to expand... Nguvu ya kuongia huku ungeipata wapi?
Lumbi9 said: Huo ndo mshahara wangu wa mwezi mzima Click to expand... Nguvu ya kuongia huku ungeipata wapi?
haszu JF-Expert Member Oct 10, 2017 1,049 2,518 Yesterday at 9:13 PM Thread starter #6 Vincenzo Jr said: Mie laki 4 Click to expand... Unakunywa?
haszu JF-Expert Member Oct 10, 2017 1,049 2,518 Yesterday at 9:14 PM Thread starter #7 Chakorii said: Nimejiandalia buku na jero mkuu Click to expand... Buku nunua juice cola jaza ndoo, tulia nyumban, utatuletea vurugu sehemu za starehe
Chakorii said: Nimejiandalia buku na jero mkuu Click to expand... Buku nunua juice cola jaza ndoo, tulia nyumban, utatuletea vurugu sehemu za starehe
Vincenzo Jr Platinum Member Sep 23, 2020 25,516 61,896 Yesterday at 9:31 PM #8 haszu said: Unakunywa? Click to expand... Naenda nayo mbugani