Bajeti ya 500,000 - 600,000 Google Google pixel ipi itanifaa

mpya..? kwa hiyo bajeti labda samsung A35 iv used A53 lakini S series used unapata kuanzia 20 mpaka 22 safi tu ...ila samsung simu za hovyo sana...chukua pixel 6 simu ya kiume hiyo,unapata kwa hiyo bajeti!
Samsung kama hzo a series ndo hamna kitu hata hizo s zenyewe nyingi hazitoboi kwa pixel kuanzia 6 kuendelea
 
Wakuu, niko na bajeti hii ya 500,000 hadi 600,000 nahitaji nipate Simu(Google pixel) ya ipi itanifaa..?

Kama una ushauri kwa brand nyingine tofauti na hiyo yenye ubora unaweza kunisanua/kunipa ushauri la isiwe Tecno au infinix
Pixel 6 na 7 hazitofautinani sana, it's either spend laki 4 nunua pixel 6 series ama ongeza kidogo mpaka laki 7 tafuta pixel 8 series. Simu kama pixel 8A ni around $250.

Unachotaka wewe kwenye simu ni nini?
 
Back
Top Bottom