Bajaji ni mpyaa ina mwezi mmoja (1) barabarani.
Haina hata tone la mchubuko
Vibali vyote vimo kutoa Sumatra.
Bajaji ipo Dar es salaam...
bei 5.9M
Maelewano yapo
Kwa mawasiliano zaidi ni PM
Bajaji ni mpyaa ina mwezi mmoja (1) barabarani.
Haina hata tone la mchubuko
Vibali vyote vimo kutoa Sumatra.
Bajaji ipo Dar es salaam...
bei 5.9M
Maelewano yapo
Kwa mawasiliano zaidi ni PM
daah kiongozi mbona unamashaka wewe ukihitaji njoo upatiwe original kadi zake nasio kukaa na kupondea biashara,,kuwa kijana maneno ya kipuuzi kwenye biashara hatu yahitaji