Hivi bajaji za ivi zishaingia Tz, mi bado sijaziona ila bila shaka zimekaa poa sana. Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa kutoka nje hiyo bei yake apo kama sijaelewa vizuri dolla 900-1500 mbona kama uko bei nafuu sana kuliko uku kwetu. Vipi kuhusu approximation ya gharama za usafirishaji na kodi bandarini huwa zina range vipi?