Msenyele JF-Expert Member Feb 7, 2012 338 86 Mar 21, 2017 #1 Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini. Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini. Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,080 4,218 Mar 21, 2017 #2 aliweka hiyo lita moja akahesabu 55km ?? au zile consumption za ku google
Shedangio JF-Expert Member Oct 11, 2016 448 170 Mar 21, 2017 #4 SanLG 1lt/40-45km Kwa boxer ni 55 to 60 integemea na uendeshaji pia eneo husika.