😅😅Uchumi unatikisika mini mkuu
hivi mtu wa kawaida hawezi kumiliki hii kitu???Mchezo wa ajabu sana huo alafu unaweza kukutia ulofa huku unaona.
.
Hata kama una elfu 5 utafanya kila namna upate 200 za kutosha
Hizo ni fikra mgando kamanda,watu wanalipiga kama kawa😎Hivi mchina atengeneze lidude yeye, aliprogram yeye, alisambaze yeye, alisimamie yeye halafu wewe unaenda kupoteza muda wako kulicheza eti upate fedha? utakuwa una mtindio wa ubongo
kumiliki hii machineKivipi yani,mi sijakuelewa