MINING GEOLOGY IT
Member
- Apr 6, 2024
- 99
- 126
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha dhahabu, likiashiria fursa kubwa ya uchimbaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Juhudi zangu zimefanyika kwa kuzingatia uchambuzi wa jiolojia na ukusanyaji wa sampuli, na natumai kuwa ugunduzi huu utakuwa baraka kwa jamii yetu na neema kwa siku zijazo."
Hii ni moja ya jiwe dogo kwenye sample kabla ya kusaga lilokwenda mahabara na kutoa majibu
RIport ya vipimo toka kwenye sample ya picha hapo juu kwenye jiwe ilo
Kama wadau au wakezaji wataitaji kujua zaidi nitazidi kueleza maana naanda ripoti kamili.
Asanteni
**********************************************************************************************************
SAMPULI KUBWA NIMESHAKUSANYA LA ENEO KUBWA ILI KUPATA RIPOTI YA PILI SASA ZA PPM .
ANGALIZO:
Tambueni unapotaka kufanya utafiti ukachukua kiwango kidogo ni kujidhirisha kuwa unacho kifanya ni kipi ili kuondoa gharama zisizo kuwa na sababu kabla kufanya maamuzi step kwa step.
UPDATE:
Sampuli ya pili ambayo imechukuliwa ili kuanza process ya kutafuta mwamba kwa umakini na wapi eneo litakuwa na kipimo kupata ppm kubwa sasa.
P2
Naweka wazi tafiti sipo kwa ajili ya utapeli