Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,625
- 13,846
MV Lila Folk nusura ichukuliwe na wanamgambo wanaodhaniwa wa Somalia.Wanamaji wa India walipata mwito wa shida baharini kutoka meli hiyo na haraka kwenda kuiokoa.
Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia na ilikuwa iko masafa ya 460 nautical miles kutoka Somalia katikati ya bahari ya Arabia.
Kulikuwa na mbaharia 21 kati yao 15 wakiwa ni wahindi.Meli hiyo ya kivita ya India ilisaidia kurudisha umeme ndani ya meli hiyo jya mizigo ili iweze kuendelea na safari yake.