Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,388
- 7,450
Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango kikubwa cha wanaume ambao wapo na programu hizi kwenye simu zao wanatafuta makahaba.
Mwezi ulioisha nilipata mchongo hivyo nikaenda zangu Jijini Dar es Salaama, kutokana na uchovu wa safari nilijikuta mpweke sana na sikuwa na marafiki wa kike hivyo usiku ikawa mbovu sana. Nilitoka hotelini nilipofikia na kwenda kupiga stori na Mlinzi, tukaongea sana na kumnunulia soda. Katika maongezi nilimuuliza wapi nitapata mwanamke kwa kupunguza spermatozoa (Tuliosoma Cuba tunaelewa) alinishawishi kupakua programu ya Badoo na kunipanga kuwa kuna pisi kali sana na kwamba ningekutana na wanawake wanaovutia ambao waliishi na kukaa eneo hilo. Nilipakua mara moja lakini bila shaka sikuipakua ili kukutana na mwanamke yeyote tu, nilitaka mali fulani hivi ya moto sana, vichwa viwili vilikuwa vinashauriana ujinga kwa mara ya kwanza kabsa. Baada ya kutengeneza wasifu wangu na kuweka picha, nilikuwa verified chap!
Mara moja nilianza kuletewa pisi za mwendo, mwili ukasisimka sana, nikatamani kutuma ujumbe ila wakaniambia kuwaili nipate nafasi bora ya kuwasiliana na kila mwanamke basi nilipie premium ya mwezi mmoja wakanipa na discount badala ya elfu 64 nikaambiwa nilipie elfu 19, mzee kwa kuwa ninafahamu upweke wa kulala mwenyewe kama mfuko wa mbolea nikalipia chap.
Punde zikaja pisi kama sita za moto sana, moja alikuwa anaitwa Cute Nai, nikaruka naye, nilimtumia ujumbe haraka na akajibu mara moja. Tukasalimia na kupeana hai, nikamuuliza yupo free akadai yupo free siku nzima nikampa location chap ila akaniambia kuwa service charge ni 45K. Mazungumzo ya dakika 45 tu kila kitu kimeeleweka vyema sana, nilimpatia buku 10 yule mlinzi kwa kunipa code!
Niliulizia kama kuna duka la dawa muhimu karibu ila kwa usiku ule walikuwa wamefunga, nikapanda boda mpaka dispendary moja na kuomba mipira ya Adidas Finale 18, nikapewa pakiti zangu mbili chap! Nikiwa njiani mtoto akanitafuta kuwa yupo getini ananisubiria. Ile nafika nikashangaa mtu ananirukia kumcheki kumbe ndo Cute Nai, yaani tulikuwa tunaongea kama tunajuana vile. Tukaingia ndani chumbani, tukafanya yetu, nilitembea mizunguko mitatu na kwenda kuoga kisha nipate kupumzika ila nikashangaa eti yeye hajafika Mlima Kilimanjaro, nikamwambia kuwa kama mimi nimetumia njia ya lango la Marangu na kama yeye anataka kutumia njia ya Tarakea (Rombo) (Rongai) basi anilipe service charge.
Mtandao wa Badoo ulianzishwa na Bwana mmoja kutoka Urusi, Andrey Andreev, huyu mjomba alianzisha mtandao huu pamoja na mtandao wa Bumble, mtandao huu ambao leo ndo umebeba dhana kuu ya andiko hili sio mwingine bali ni Badoo. Mtandao ambao una miaka 17 tokea kuanza kazi Novemba 2006.
Badoo imeshika kasi kwa kuwa na watumiaji wengi kutoka Brazil, Mexico, Ufaransa, Uhispania pamoja na Italia. Mwaka 2016 ulishika namba moja ya kuwa mtandao wa mahusiano ambao umepakuliwa mtandaoni zaidi katika nchi zaidi ya 21.
Andiko langu halina nia mbaya ya kuweka taharuki kwa watu kwa namna yoyote bali kuweka tahadhari ya mtandao huu kutoka na watumiaji wengi kuwa na uhitaji wa tofauti zaidi. Kwa kiwango kikubwa sana hapa Tanzania mtandao wa Badoo naweza kuufananisha na mtandao wa exotic africa, kwa sababu watu wameubadilisha na kuwa ni sehemu ya kujiuza na kutafuta malaya! natumaini wakuu humu ndani mmepata kukutana na pisi kali sana mjini Badoo ila ukiwasiliana nao mwisho huwa na ugonjwa wa kutaka uwape pesa kwa mabadilishano ya ngono, kifupi ni biashara ya mwili.
Bila Shaka lengo la Badoo ni zuri sana, kwani kwa undani husaidia sana wale wenzangu madomo zege kupata wenza wao ila kwa asilimia kubwa watumiaji wa mtandao huu wanafanya mambo mengi tofauti. Andrey Andreev wazo lako linatumiwa na watu vibaya huku mitaani! Ila Hongera kwa mtandao huu.
Umakini unahitajika sana! Uko kuna watu wanajiuza wazi wazi!

Sio kwa ubaya! SIo kwa Ubaya!
TAKE GOOD CARE GUYS!
TAKE GOOD CARE GUYS!