We dalali wao nini? Au umetumwa kuwasafisha bado vitu vingi vipo chini ya kiwango vya hawa watu mimi nimenunua kabati la nguo lilitengenezwa na wachina kimuonekano zuri sana ila nimehama nalo kwenda nyumba nyingine naliunga limezingua limekuwa kama kibanda cha wazaramo(watani zangu) cha kuhifadhia majini
Duuuu. Kaka huwa hayo makabati hayahamishiki. Pole sana.We dalali wao nini? Au umetumwa kuwasafisha bado vitu vingi vipo chini ya kiwango vya hawa watu mimi nimenunua kabati la nguo lilitengenezwa na wachina kimuonekano zuri sana ila nimehama nalo kwenda nyumba nyingine naliunga limezingua limekuwa kama kibanda cha wazaramo(watani zangu) cha kuhifadhia majini
Sumsung ipi inatengenezwa china. Hakuna hiyo kitu mkuu.Sent by itel, tecno and Samsung , made in China
Samsung j1Sumsung ipi inatengenezwa china. Hakuna hiyo kitu mkuu.
Wadau kuna hii mentality iliyojengeka miongoni mwetu kwamba kila likicho cha china ni fake. Hadi imezoeleka kwamba kila kitukibaya au kisicho na ubora huitwa cha China hata kama hakiusiani kwa namna yeyote na Jamuhuri hiyo. Ukifuatilia kwa makini sasa utagundua barabara nzuri ni zile zinazojengwa na Kandarasi za kichina. Hali hiyo ipo ktk kila sekta hata majengo mazuri ni wachina. Nguo tunazovaa na kuonekana watashat ni wachina. Simu za viganjani zenye majina makubwa now zinatoka China ikiwemo IPhones. Mimi binafsi nina Laptop Sony made in China miaka mitano sasa no problem. Madaktari wazuri China Now hata samaki (Vibua)nk tunakula wanavuliwa na wachina. Majumbani kwetu vifaa tunavyotumia kuanzia kijiko hadi mashuka ni China. Hii mentality ya wachina na vitu fake inatoka wapi. Nawasilisha.
ipi anamacho au naye ameamua tu kujaza uzi iko made in china kibao tu tena imara microsoft mwenyewe baadhi ya simu zake zinatengenezwa hukoSamsung j1
J1 ice
J7 prime
N.k
Zipo nyingi mkuu
Karibia brand zote zinatengenezwa china. Mfano Samsung note series zote zina copy ya chinaSumsung ipi inatengenezwa china. Hakuna hiyo kitu mkuu.
Ha ha ha mkuu umenichekesha usiku wa mananeWe dalali wao nini? Au umetumwa kuwasafisha bado vitu vingi vipo chini ya kiwango vya hawa watu mimi nimenunua kabati la nguo lilitengenezwa na wachina kimuonekano zuri sana ila nimehama nalo kwenda nyumba nyingine naliunga limezingua limekuwa kama kibanda cha wazaramo(watani zangu) cha kuhifadhia majini
Hiyo ni copy sasa!!! siyo original.Karibia brand zote zinatengenezwa china. Mfano Samsung note series zote zina copy ya china
Originally kabisa na Samsung wanaitambuaHiyo ni copy sasa!!! siyo original.