Kiyumbi Yuga
Member
- Dec 13, 2017
- 92
- 165
Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo.
1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti au ubadilishe
2. Anapiga makelele anayoelewa yeye tu,tena ya kujirudiarudia
3. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu waya,nk
4. Hatulii sehem Moja
5. Usiku halali
6. Anabagua chakula,Kuna wkt Hali ni uji tu miezi kadhaa
7. Anapenda kukaa uchi. Na sifa nyingine nyingi
Baada ya kupokea mawazo mbalimbali kutoka kwenu nilifanya yafuatayo
1. Nilimpeleka Kwa Mwamposa akashikwa na Mwamposa, akapewa maji na mafuta, na Kwa manabii wengine kama Nabii Musa, Frank, Kiboko ya wachawi nk
2. Nilimpeleka hospital Bugando mwanza, Wanasema ni usonji, ( autism ), tukapewa dawa na ushauri tunaendelea kutumia
3. Tulimpeleka Kwa mashekhe na waganga kama wengine pia walivyoshauri
4. Tulimpeleka Arusha Kuna Kituo wanatibu changamoto hiyo, tulipewa matibabu mwez mmoja gharama zikawa kubwa sana tukarudi kuendelea kutumia dawa nyumbanI
5. Tulimpeleka shule na kumtafutia mdada wa kumfundisha na kukaa nae hata kwenda nae shule maana hatulii na kukimbiakimbia tu ( hawezi kukaa mwenyewe hata darasani hawezi kutulia)
Sasa mtoto yupo nyumbani ana miaka 5, Bado Hali yake hairidhishi japo anahesabu kidogo kama 1-10 japo maneno hayaeleweki vizuri.
Nimerudi kwenu kutoa mrejesho na kuomba ushauri zaidi. Bado sijachoka,Niko tayari hata kutoa uhai wangu ili mtoto aongee. Asanteni
Pia soma:Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu