At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni heri serikali ikaja na mpango wa kujenga hostel Kwa shule za kata ambazo vijiji vyake viko mbali.