Gumasa
Member
- May 10, 2023
- 32
- 32
Wakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika "connecting" muda wote.Nimejaribu kuinstall app upya au kutumia browser tofauti lakini hakuna mafanikio.
Kuna document nimetumiwa huko ninaiihitaji Sana,tafadhali naombeni msaada Sana.
Kuna document nimetumiwa huko ninaiihitaji Sana,tafadhali naombeni msaada Sana.