Akipewa kipichapo zaidi ya 2015natamani kumuona Lowassa 2020
Kwahio haita kuuma akipewa kichaposawa ila natamani yote kwa yote
Hujaamua nenda uone chamotoNatamani kupiga mbizi mpaka kigamboni
Natamani tupate Rais mwingine kama kikwete ili biashara zangu zirudi katika hali yake ya siku zoteNatamani Kingunge arudi tena CCM.
Kwakweli hata mimi mishe now haziendi vyema,lakini katu sitamani atokee tena mfano wa Mzee msoga.Natamani tupate Rais mwingine kama kikwete ili biashara zangu zirudi katika hali yake ya siku zote
Mi piaNatamani kutumia terminal mpya ya JKNIA