Ukiangalia yanayofanyika hapa kwetu, mwenye akili timamu anaona kabisa kuwa waafrika bado tunahitaji kutawaliwa for another 100 years kuweza kuendesha nchi zetu! Bado kabisa kabisa!
Same as in science, bado tunafanya utafiti wa surveys, prevalences etc be it in natural or social science, ... Twaweza...... hatufiki popote!