johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 92,663
- 161,529
Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema kaanzia safari yake Dar hadi Kigoma kwa barabara
Ikumbukwe Lissu hajamaliza matibabu nchini Ubelgiji na Juzi tu alikuwa huko kwa Check up
Mwenyekiti Mbowe yeye ndio katua kwa Chopa Kigoma
Nchi ngumu sana hii!
Ikumbukwe Lissu hajamaliza matibabu nchini Ubelgiji na Juzi tu alikuwa huko kwa Check up
Mwenyekiti Mbowe yeye ndio katua kwa Chopa Kigoma
Nchi ngumu sana hii!