Kisa ni habari nyingine asee,maana kuna watu wanawahi habari za channel 10 hasa za biashara anazotangaza Kissa, na hawabanduki hadi Kissa amalize kutangaza,hata michezo hawasubiri!
Nadhani hata camera crew amekubaliana nao kuwa wawe wanamuonesha full hadi miguu badala ya kuishia tumboni asee... ni kifaa si cha mchezo!