Wakuu,
Makubwa!
====
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania, zilizofanyika leo mkoani Manyara kuwasilisha maelezo ya maandishi yakieleza sababu za kutokushiriki.
Ametoa maagizo hayo Leo wakati akifungua mdahalo maalum kuhusu uhuru, amesema kitendo cha taasisi hizo kutoonekana katika sherehe hizo ni ukosefu wa uzalendo na kushindwa kutambua umuhimu wa siku hiii ya kitaifa.
Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza umuhimu wa Taasisi kushiriki katika matukio ya kitaifa kama njia ya kudumisha mshikamano wa kijamii na uzalendo miongoni mwa Watanzania.
Miaka 63 ya uhuru wa Tanzania imeadhimishwa leo kwa ngazi za mikoa na wilaya ili kuwakumbusha wananchi nchi ilikotoka, ambapo katika mkoa wa Manyara imefanyika wilayani Babati ikiongozwa na mkuu wa wilaya ya Babati akimuwakilisha mkuu wa mkoa Queen Sendiga
Pia soma > KERO - Sheria gani inayomlazimisha mtumishi wa umma kuhudhuria makongamano kama haya ya 9 Desemba?