Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 15,021
- 31,349
Raia wa UK. Anajulikana Kama Baba wa Uchawi. Katika Imani Yake na Waumini Wake Kulikuwa na 'Cake of Light', ni Keki Inayotengenezwa kwa Majimaji ya Sex na Damu ya Hedhi. Alikuwa Anajiona Anazo jinsia Mbili Hivyo Kuwa na Wapenzi wa Kike na Wakiume.
Miaka ya mwanzoni mwa 1900 Crowley alikuwa ni mchawi hatari katika dunia, umaarufu wake yeye na imani yake vilisambaa duniani kote.
Nchini Algeria kuna sehemu inaitwa Tassili N'Ajjer, kwasasa ni hifadhi ya taifa lakini zamani kabla ya miaka ya 1900 ilikuwa ni sehemu ya kuogopwa mno kuingia kutokana na kuaminika kwamba kuna majini, hakuna yeyote aliyekua amewahi hata kuisogelea.
Wakoloni ambao ni Ufaransa waliogopa hata kulisogelea eneo hili la mapango na kuishia kupiga picha kwa juu tuu kwa kutumia ndege, lakini mwaka 1909 mwamba alipopata taarifa za eneo hilo alienda na kuingia mpaka ndani na kutoka, japo wenzake alioongozana nao walipotelea ndani humo.
Crowley alizaliwa Oktoba 12, 1875 nchini Uingereza, wakati wa ukuaji wake alianza kufuata imani yake ambayo haipo kwenye dini wala sayansi, imani iliyompa umaarufu mkubwa sana duniani (uchawi).
Waumini wake katika ibada zake walikuwa wanalazimika kula keki iitwayo 'Light Cake' ambayo ilikuwa inatengenezwa kwa kutumia majimaji yanayotoka mwilini wakati wa sex pamoja na damu ya hedhi, na ili kuvipata hivyo walikua na ibada inayoitwa ibada ya ngono.
Crowley alikuwa anajiona na jinsia mbili ya kike na kiume, kwani pia alikuwa na wapenzi wa jinsia zote hizo mbili, imani yake ilikuwa inaitwa Thelema.
Katika siku zake za mwisho za uhai wake Crowley alikuwa anahitaji kuchomwa sindano ya morphine kila siku ili aendelee kuwa imara, daktari wake alikuwa anakataa kuupa dawa hiyo ajihudumie mwenyewe kwa kuhofia kuitumia vibaya kitendo kilichopelekea Crowley kukasirika.
Inaelezwa kwamba kufuatia kasiriko hilo Crowley alimwambia daktari wake anampa laana, ajabu ni kwamba dokta huyo hakumaliza saa 24, alikutwa amefariki dunià.
Crowley alifariki mwaka 1947 (72) nchini Uingereza na mwili wake kuchomwa moto.
Baada ya kifo chake kulipatikana hati ambayo alichora mistari na michoro isiyoeleweka, na hakuna hata mmoja wa wachawi aliyeweza kuifasiri, hati hii kwa sasa iko kwenye jumba la makumbusho huko Uingereza.