S samurai1411 Member Jan 12, 2016 20 9 Feb 26, 2016 Thread starter #5 BansenBurner said: Wamefanyaje? Click to expand... Wamepiga picha ya familia
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,758 730,000 Feb 26, 2016 #6 samurai1411 said: View attachment 325659 Click to expand... Hii nyumba hawali chips wala ubwabwa
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,320 18,838 Feb 26, 2016 #8 Baba kafanana na wanae maeneo ya kiunoni........
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,758 730,000 Feb 26, 2016 #9 Preta said: Baba kafanana na wanae maeneo ya kiunoni........ Click to expand... Halafu mikono kama ya mama
Preta said: Baba kafanana na wanae maeneo ya kiunoni........ Click to expand... Halafu mikono kama ya mama
Nje ya Mada JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,399 490 Feb 26, 2016 #10 Preta said: Baba kafanana na wanae maeneo ya kiunoni........ Click to expand... Dada vua Tafadhali
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Feb 26, 2016 #11 Duh, naona hiyo familia zoezi ni lazima sio ombi. Yaani wote vigimbi kuanzia miguu, mikono na sura. Usikute hata nyeti zao zina vigingi.
Duh, naona hiyo familia zoezi ni lazima sio ombi. Yaani wote vigimbi kuanzia miguu, mikono na sura. Usikute hata nyeti zao zina vigingi.