Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,583
Niko FB na familia yangu yote. Hamna tatizo kabisaa....FB kuna madudu, njia sahihi ni hao kutokuwa marafiki kwa account zao za FB ila wakiwa marafiki au mtoto akiwa rafiki na mtu mwingine ambaye pia ni rafiki wa baba au mama hapo ni ishu pia, maana mtoto akilike kwa rafiki yake ambaye pia ni rafiki wa baba yake, baba yake anapata notification.
FB ni uozo sana!!
Unatumia ID gani FB nikutembelee?Niko FB na familia yangu yote. Hamna tatizo kabisaa....
My Real Names....Unatumia ID gani FB nikutembelee?
Ila kutokana na utandawazi kuna familia zinaona ni sawa zingine zinaona SIO SAWA
Aisee hatari mnoMwaka 1997 kuna mzazi alimpiga marufuku mwanaye aliyekuwa anasoma Kibaha kusafiri toka Songea na kurudi kwa mabasi ya Kiswele au Special coach kwakuwa magari hayo yalikuwa ni video coaches, perception ya huyo mzee ilikuwa kitu kinachoitwa video ni muziki wa wacongo wacheza nusu uchi