Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,376
Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema,
"Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo
Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na kumshitaki Harmonize kwenye vyombo vya dola kwa tukio la kushambuliwa.
- Baba Levo amfungulia kesi Harmonize
Written by Mjanja M1 ✍️