JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,814
- 6,688
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo asubuhi. Picha na Burhani Yakub
Chanzo: Mwananchi
Chanzo: Mwananchi