Baadhi ya wake za watu nimewanyooshea mikono, nasalimu amri

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
793
2,070
Dunia iko kasi sana aisee,

wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.

Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema naringa.

Nikampigia tukasalimiana basi kila mtu akala kona yake.

Huyu dada aliolewa na mie sina mazoea na wake za watu, saa katika mazungumzo nikamuita MKE WA MTU, akawaka nanukuu, "UNANIITA MKE WA MTU UNATAKA KUNINYIMA NINI"? Nikahisi labda waliachana na mumewe na sasa yupo mwenyewe.

Sikutaka kuulizia direct ila nikatumia mbinu ya kumuomba tuonane (Yuko Arusha na mie nipo mkoa mwingine) ili kama yupo free ntajua. Akajibu hatoweza kutoka mumewe yupo labda tukutane mkoa X anaenda kwenye sherehe bila mumewe na inajulikana haitaleta shida.

Nikampima tena, nikamwambia Nilikuwa na Safari ya Arusha ndio maana nilitaka tuonane, sasa kukutania mkoani kisa kuonana tu sio issue tutabonga hata video call. Alichonijibu, WE MWANAUME UNARINGA SANA NINGETAKA KUKUONA NINGEOMBA PICHA AU NINGEANGALIA FACEBOOK PICHA ZAKO.

Kweli HANDS UP, imagine kuna mtu naye anajua ana mke.
 
Mwanamke kukuacha ngumu Sana hasa ukiwa wewe ni wale watu wenye vitu vingi cya Ku-offer tofauti na pesa.

Na sio mwanamke tu hata mwanaume pia kumsahau mwanamke mwenye presence ni ngumu Sana na akishtuliwa anashtuka.

Mkuu hapo ni kutumia busara zako tu ili usiitume hiyo energy uliyopewa na Mungu kujipatia Advantage
 
Unakwepa kutuma nauli ya kumtoa mkoani......ila hayo ni kawaida wanawake wana madhaifu ya control emotional intelligence zao hilo sio sual la kujivunia mkuu just keep cool.
Ni wanaume wachache tunaoelewa hili, na ukilielewa utakwepa maswahibu kama anayoyatafuta mleta uzi.

Wale wanawake wanaojielewa huwa hawataki kabisa mawasiliano na maex zao, yaani wanawafutilia mbali wasitafutane maana wanajua ni uzo mwembamba sana unawatenganisha.
 
Dunia iko kasi sana aisee,

wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.

Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema naringa.

Nikampigia tukasalimiana basi kila mtu akala kona yake.

Huyu dada aliolewa na mie sina mazoea na wake za watu, saa katika mazungumzo nikamuita MKE WA MTU, akawaka nanukuu, "UNANIITA MKE WA MTU UNATAKA KUNINYIMA NINI"? Nikahisi labda waliachana na mumewe na sasa yupo mwenyewe.

Sikutaka kuulizia direct ila nikatumia mbinu ya kumuomba tuonane (Yuko Arusha na mie nipo mkoa mwingine) ili kama yupo free ntajua. Akajibu hatoweza kutoka mumewe yupo labda tukutane mkoa X anaenda kwenye sherehe bila mumewe na inajulikana haitaleta shida.

Nikampima tena, nikamwambia Nilikuwa na Safari ya Arusha ndio maana nilitaka tuonane, sasa kukutania mkoani kisa kuonana tu sio issue tutabonga hata video call. Alichonijibu, WE MWANAUME UNARINGA SANA NINGETAKA KUKUONA NINGEOMBA PICHA AU NINGEANGALIA FACEBOOK PICHA ZAKO.

Kweli HANDS UP, imagine kuna mtu naye anajua ana mke.
You are very stupid
 
Ni wanaume wachache tunaoelewa hili, na ukilielewa utakwepa maswahibu kama anayoyatafuta mleta uzi.

Wale wanawake wanaojielewa huwa hawataki kabisa mawasiliano na maex zao, yaani wanawafutilia mbali wasitafutane maana wanajua ni uzo mwembamba sana unawatenganisha.
Mkuu ni kweli kuepuka wanàwake ma X ni kujiheshimu tu, ila hamna mwanamke wa kukataa sasa wakikutana na bogus men wengi hufikiri kumlala huyu ex ni sifa, ndo stori kama hizi za mleta mada, ukinipa simu dakika 30 ni nyingi kua nimesha fix ratiba na ex wangu yoyote haijalishi kaolewa au la, lakini kwa nini ni manipulate kiumbe mwenzangu nae jua kabisa ana madhaifu, wakati na mimi nina mke, "gettlemen are few but men are many"....
 
...hata wanaume.

Pia nadhani tujifunze haya mambo ili tuone inakaaje .

Happiness na Joy.

Sisi binadamu tunapenda Happiness au Joy .

Mwanamke akipata Joy pesa inakuwa nyongeza Ila atakumbatia joy Sana.

Mwanaume akipata Joy basi atakumbatia joy then pesa.

Sasa joy ni nini na happiness ni nini?

Happiness -ndo ile hali huwa inatutokea na kuanza kusema nikimpata huyu mwanume kwakuwa anapesa basi ntaishi vizuri Ila ukimpata ukagundua hauna Joy hii unaanza kumuona anaboa sana.

Happiness huwa inaletwa baadanya kupata kitu fulani Ila huwa haidumu mfano ukimnunulia mwanamke gari atafurahia Ila baada ya muda ataanza kuona kawaida Sana.

So Joy ndo ile furaha ambayo hunaweza kuisoma kwa watoto wadogo wanafurahia ingawa hawana kitu cha thamani wanamiliki.

Hivyo concept ya mwanamke hajui anataka nini ni baada ya kumpa happiness na kumyima Joy.

Joy ni consistency. Ila happiness sio consistency

So awe mwanaume au mwanamke wote wanapenda happiness Ila wanahitaji Joy ili kujihisi wanaishi

So pesa hutoa happiness na sio Joy
 
Kuna mchumba wa mtu hapa kitaa aliomba nimkopeshe 80k. Cha ajabu , badala ya kirudisha fedha kama alivyoahidi ananitumia sms saa 5 usiku zenye vialama vya makopakopa.
 
Pia nadhani tujifunze haya mambo ili tuone inakaaje .

Happiness na Joy.

Sisi binadamu tunapenda Happiness au Joy .

Mwanamke akipata Joy pesa inakuwa nyongeza Ila itakumbatia joy Sana.

Mwanaume akipata Joy basi atakumbatia joy then pesa.

Sasa joy ni nini na happiness ni nini?

Happiness -ndo ile hali huwa inatutokea na kuanza kusema nikimpata huyu mwanume kwakuwa anapesa basi ntaishi vizuri Ila ukimpata ukagundua hauna Joy hii unaanza kumuona anaboa sana.

Happiness huwa inaletwa baadanya kupata kitu fulani Ila huwa haidumu mfano ukimnunulia mwanamke gari atafurahia Ila baada ya muda ataanza kuona kawaida Sana.

So Joy ndo ile furaha ambayo hunaweza kuisoma kwa watoto wadogo wanafurahia ingawa hawana kitu cha thamani wanamiliki.

Hivyo concept ya mwanamke hajui anataka nini ni baada ya kumpa happiness na kumyima Joy.

Joy ni consistency. Ila happiness sio consistency

So awe mwanaume au mwanamke wote wanapenda happiness Ila wanahitaji Joy ili kujihisi wanaishi

So pesa hutoa happiness na sio Joy
Safi sana, hapa sasa nimekuelewa.
Kumbe sisi viumbe tunahitaji Joy.
Haya🥴
 
Back
Top Bottom