Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,102
- 4,235
1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto.
2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi mithili ya UVIKO-19 lakini virusi hivyo vitakuwa vinasababisha watu kusinzia mara Kwa mara.
3. Chama kinachoongoza Afrika ya kusini kitashinda katika kura za uchaguzi ujao ila kutakuwa na vurugu.
4. Kutakuwa na mapinduzi ya Kijeshi katika nchi ya Mali
5. Majanga makubwa kutokana na mabadiliko tabia nchi yataendelea kutokea Tanzania
(a) Kutakuwa na mvurugiko wa misimu utakaoathiri Kilimo cha mvua mfano katikati ya msimu wa mvua jua linaweza kuwa Kali au katikati ya msimu wa jua mvua kunyesha jambo ambalo ni tofauti na mazoea.
6. Kuna Mtumishi wa Mungu jina lake lina herufi "S" katikati ambaye amekuwa na tatizo la moyo kwa muda sasa na jambo hili limefanywa siri, mwa kahuu tumuombee sana.
7. Kutatokea ajali ya ndege ya Shirika linaloanza na herufi "E" katika Bahari ya Hindi
8. Mwaka huu kuna meli kubwa itaungua kwa moto na huo utakuwa mwanzo wa namba ya mnyama kuwa waziwazi Afrika na Tanzania kwa upekee.
9. Kutakuwa na matetemeko ya ardhi makubwa katika nchi ya Japan
10. Kuna msanii mkubwa anayejihusha na biashara ya dawa za kulevya, asipojirekebisha mwaka huu ataingia korokoroni.
Ikumbukwe Numerolojia yenyewe haizingatii utabiri wa majanga au matukio ya kina ya kihistoria. Inachunguza tu nambari na maana zao katika muktadha wa kibinafsi au kijamii. Kwa hivyo, haina uwezo wa kutabiri majanga au matukio maalum katika mwaka wowote.
Ili kuyasikia yote fuatilieni video note ya mkesha wa mwaka mpya, hapa nimeandika machache tu niliyoyakumbuka
Chanzo: Nabii Clear Malisa