Lager
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 395
- 1,084
Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa mpk na daktari wa maswala ya wanawake wajawazito na waliojifungua!.
kuna muda alipata nafuu mpk akaanza kutembea sawasawa lkn hali imerudi tena huku case nyengine ikiwa ni mikono na miguu! ameanza tena dose lakini!.
kichwa kinauma nipeni ushauri afanye nini aoondokane na hii hali.. kuhusu mtoto yeye yupo salama.