Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,440
- 8,598
Jana nilimuua yanga na Mungu si Athumani mkeka ukatiki, lakini mpaka muda huu masaa 20 yamepita Sportpesa wameshindwa kusasisha matokeo ya mechi hiyo ili kuwezesha wateja kulipwa.
Babakimya mpaka muda huu yaa i kaksirika timu lake kupigwaLaki mbili hizo