Baada ya watu kumtukana mtoto wa Kajala huko instagram, Kajala aamua kufunguka na kusema haya

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,053
6,301

7.jpg

Instagram kumechafuka, yani watu wanatukana wanavyojisikia, hawaogopi kitu chochote kile. Matusi hayo yamemkuta kajala, katukaniwa mtoto wake hadi kashindwa kukaa kimya. Hiki ndo alichokiandika Instagram kuhusiana na ishu hiyo.

Nadhani kila binadamu anaufanya kitu anacho penda lkn kama nyinyi wote mnaona mm ninacho fanya nakosea siwezi kuwaraumu nawaomba mnitukane usiku kucha mkilala nitukaneni mkiamka nitukaneni nimeshazoea nilikuwa naumia mwanzo lkn sasa siumii tena ninacho waomba amjui nimepata tabu gani na mwanangu kwaiyo kama anae wakosea ni mm na sio mtoto wangu basi naomba mnitukane mm na umaya wangu msimuingize mwanangu please please nawaomba sana kiroho safi .....
 
Sasa aaache kumvalisha nusu uchi na kumtundika Instagram
Hiv mbona Kajala hua hapigii kutuonyesha nyumaa wakati nae ana mzigo wa hajaaa! !!!!
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Tyta tupia mapicha plz
 
Attachments

  • P1.jpg
    P1.jpg
    21.2 KB · Views: 8,555
  • P4.jpg
    P4.jpg
    89.8 KB · Views: 8,948
  • 111.jpg
    111.jpg
    39.9 KB · Views: 8,687
Mbaya zaidi Paula akienda Bamaga kwa babake bangi akienda Tabata kwa mamaake mambo mengi mtoto huyu mmh sijui.

Nayeye aache kumuuzisha sura insta kila siku hukosi kuona picha za Paula na mdogo wake Parvin.
 
Hee mtoto mkubwaa halaf atudanganye aseme ana miaka 23 kajala atakua na 30 kuendeleaa ila ana mwili mzurii
Mbona mtoto hamfanani P hata ushombee kidogo hakuchukua,
Huyu mtoto mi nalingana naee bana
 
Kwan Kajala ana watoto wangapiii??
 
Hee mtoto mkubwaa halaf atudanganye aseme ana miaka 23 kajala atakua na 30 kuendeleaa ila ana mwili mzurii
Mbona mtoto hamfanani P hata ushombee kidogo hakuchukua,
Huyu mtoto mi nalingana naee bana

Huyo mtoto anaumbo kubwa tu lakini ndo katimiza miaka 11 mwaka jana mwishoni, afu Kajala alizaa akiwa mdogo sana. Hana miaka 23 though
 
Hee mtoto mkubwaa halaf atudanganye aseme ana miaka 23 kajala atakua na 30 kuendeleaa ila ana mwili mzurii
Mbona mtoto hamfanani P hata ushombee kidogo hakuchukua,
Huyu mtoto mi nalingana naee bana

Ni mtoto wa P huyo ila kafanana na mamake hiyo rangi ya ukubwani tu ila picha za utotoni kalikuwa keupe keupe kadiri anavyokuwa ndo anazidi kuwa like mother like daughter.
 
Mmoja Paula ila mara nyingi anashinda kwa babake P na mdogo wake Parvin wamama mwingine, ila kajala wote anawapenda na anawauzisha sura insta huyo Paula na mdogo ake.

Anaonekana yupo poaaa sanaa Kajalaa
 
Huyu ana miaka 11?, binti yangu ana miaka 11, mbona wakwangu bado anaonekana mdogo sana na yuko darasa la 6, huyu yuko form ngapi? Tyta

si maneno yangu hayo..
photo+1.PNG.jpeg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom