Civilian Coin JF-Expert Member Dec 2, 2012 2,305 4,379 May 18, 2016 #1 weka akili sawa ili uendelee kupost na kutoa maoni mabalimbali hapa jf baada ya kusikiliza hii kitu.
Lizaboni JF-Expert Member Feb 21, 2013 33,894 20,375 May 18, 2016 #2 Sasa mambo yenu ya kilokole utawekaje humu?
babatovu JF-Expert Member May 5, 2014 2,739 1,601 May 18, 2016 #3 Lizaboni said: Sasa mambo yenu ya kilokole utawekaje humu? Click to expand... Serikali ya viwanda bana... tehe.. tehe...
Lizaboni said: Sasa mambo yenu ya kilokole utawekaje humu? Click to expand... Serikali ya viwanda bana... tehe.. tehe...
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,128 May 18, 2016 #5 bora ujikite kwenye gospel kwa kweli maana siasa zimekutupa mkono.
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Jul 18, 2013 5,024 4,834 May 18, 2016 #8 Deogratius Kisandu said: weka akili sawa ili uendelee kupost na kutoa maoni mabalimbali hapa jf baada ya kusikiliza hii kitu. Click to expand... UBARIKIWE! KWA KWELI TUNAHITAJI 'BREAK' KWA YESU! NA TUZIDI KUMUOMBEA KAMANDA WETU MAGUFULI! HAPA KAZI TU!
Deogratius Kisandu said: weka akili sawa ili uendelee kupost na kutoa maoni mabalimbali hapa jf baada ya kusikiliza hii kitu. Click to expand... UBARIKIWE! KWA KWELI TUNAHITAJI 'BREAK' KWA YESU! NA TUZIDI KUMUOMBEA KAMANDA WETU MAGUFULI! HAPA KAZI TU!