eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena kwa ukubwa ule ule kabla huu mwaka haujaisha.
Hongera kwa kusikiliza ushauri wa watumishi wa kweli ya Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena kwa ukubwa ule ule kabla huu mwaka haujaisha.
Hongera kwa kusikiliza ushauri wa watumishi wa kweli ya Mungu.