round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 271
- 957
Baada ya kufanya mahojiano na mwandishi mmoja alidai kwamba @alikiba hawezi kumfikia msanii wa Kenya Bienaimesol kwa uimbaji maana Alikiba anabana sana pua akiwa anaimba live. Alisema;
""Nani? Yule mbana pua, hapana kweli. Usimfanishe na Bien, msifananishe wabana pua na waimbaji wa rnb major, yule ni wakufananisha na wale waimbaji wa kihindi maana ndio wabana pua wenzake. Huwezi kuwashindanisha wabana pua na watu wenye vipaji vya Rnb, hawezi yule."
Alikiba kaposti instagram kwa kumjibu
"Umekuwa ukiropoka sana mitandaoni bila kujiheshimu wala kuheshimu watu sijui unajiona nani yani kama vile wewe ndio unapandisha watu daraja katika maisha mabadiriko yako ya akili unayaweka hadharani unataka tujiskie vipi sisi tunao kuheshimu unaropoka sana siku hizi umesahau brand yako uliyoitengeneza miaka mingi unahitaji kunyama sio kila kitu watu wasubiri utasema nini unadalili zote za upinde maana umekosa heshima siku hizi badirika unachokifanya sio sifa nzuri"
caption - Upinde 🍆