ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,724
- 72,144
Yanga tunaomba mjitanidi sio tuu kuandika historia yenu na kuweka Tanzania kwenye ramani ya soka Bali nyie ndio Timu pekee imesalia kwenye mashindano ya CAF kuwakikisha Afrika Kusini Mwa Jangwa la Sahara..
Baada ya Mamelodi Sondowns kuondolewa Leo ,hakuna Timu nyingine ya ngozi nyeusi isipokuwa Yanga..
Kiukweli Yanga msipotwaa ubingwa ,Waarabu watatudharau sana,chonde chonde Jiandaeni kupigania race na heshima ya mtu mweusi..
Nawatakiwa Kila la kheri mkapambane kufa na kupona kombe libakie Yanga,Tanzania na Afrika Kusini Mwa Jangwa la Sahara.