Baada ya Lissu kuwa Mwenyekiti Chadema tujiandae kuwaona tena Wabobezi wa Sheria kina Andrew Chenge na wengine wakirudishwa CCM

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
15,506
32,552
Inahitaji kuwa na akili kubwa sana ili uweze kupambana ki hoja na Tundu Antipass Lissu.

Naziona siasa za Tanzania zikibadilika sana kuelekea kupata Tanzania yenye Katiba Bora kabisa upinzani ukiongozwa na Tundu Antipas Lissu

Naona kurejea pia kwa watu wanaojua Sheria katika Chama cha Mapinduzi kama Andrew Chenge na wengineo wengi ili at least waweze kwenda sambamba na mtaalam na nguli wa sheria nchini Tundu Antipass Lissu

Siasa za Tanzania zinaenda kuwa tamu sana. Mungu atupe uhai.
 
Back
Top Bottom