MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Hongera mno Ally Shabaan Kamwe kwani ni Suala la muda tu unaenda Kutangazwa kuwa Msemaji Mpya ( Afisa Habari Mpya ) wa Yanga SC.
Pongezi nyingi Kwako pia kwa kwenda Kumlamba Miguu ( Kumpigia Magoti ) Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ambaye Ulimdhalilisha sana Redioni na Mitandaoni Kwako Ili akusamehe na akupigie Chapuo kwa GSM Mwenyewe na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Kufanikiwa nalo.
Kongole zaidi Kwako kwa kutumia Nguvu Kubwa ( hadi ile ya Kiutamaduni ) achilia mbali ya Kutoa Pesa na Kuwaahidi Watu wa karibu na Uongozi wa Yanga SC kuwa ukiwa Afisa Habari wa Yanga SC utawalipa Fadhila na hata Kuwafanikishia Watu wengine Mambo yao ndani ya Yanga SC.
Ni matumaini yangu utakuwa Afisa Habari Mpya Mstaarabu na Makini ndani ya Yanga SC mwenye Uweledi zaidi kama Ahmed Ally wa Simba SC.