Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 876
- 2,373
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.
Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.
Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.