Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,349
- 2,951
Upinzani inaonekana anafanya kazi na watu wengi ambao hawamuhitaji zaidi ya wanachama wa kawaida.lakini pia hao watu ni Marafiki wa CCM hivyo kuhamia huko hawatamfuatilia
Wana CCM wengi mbali na kuwasema wanampenda na hawana ubaya nae
halafu makonda anahangaika na usenge wake kutangaza mambo ya kijinga watu wapo msibani na wengine wanahangaika kuokoa ndugu zao! ifikie mahali tuone aibu kaama serikaliSISI TUPO KARIAKOO NDUGU ZETU WAMEKUFA.
SELIKALI HAINA VIFAA VYA UOKOAJI.
HAINA WATAALAMU WA KUKABILIANA NA MAJANGA.
GHOROFA NNE TU KESHO NI SIKU YA NNE ZINAWASHINDA.
WATU WANAJENGA NA KUBOMOA KIHOLELA , VIBALI NAVYO VINATOLEWA KIHOLELA.
KARIAKOO HAINA OPEN SPACE, PUBLIC TOILET, MAJI , WALA PAKING
Kwani yupo anayefuga wale wanyama wa madoa doa ameanza kuwanyima chakula wapate njaa kali?Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli .
Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-
View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea
LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa. Kupitia vyombo vya habari...www.jamiiforums.com
Nani aliyekwambia Serikali haina vifaa ?SISI TUPO KARIAKOO NDUGU ZETU WAMEKUFA.
SELIKALI HAINA VIFAA VYA UOKOAJI.
HAINA WATAALAMU WA KUKABILIANA NA MAJANGA.
GHOROFA NNE TU KESHO NI SIKU YA NNE ZINAWASHINDA.
WATU WANAJENGA NA KUBOMOA KIHOLELA , VIBALI NAVYO VINATOLEWA KIHOLELA.
KARIAKOO HAINA OPEN SPACE, PUBLIC TOILET, MAJI , WALA PAKING
AiseeKwani yupo anayefuga wale wanyama wa madoa doa ameanza kuwanyima chakula wapate njaa kali?
Sio anzishe chama chake ?Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.
Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-
View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea
- LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini
Yote sawaSio anzishe chama chake ?
Lkn LISSU YUKO UPINZANI.Kaka yake Tundu ni CCM damu.
Na ndiye aliyemsomesha.
Na aliwahi gombea ubunge kupitia CCM.
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.
Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-
View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea
- LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini
Hakuna anayeongelea vifaa vya kuteka wapinzani, tunaongelea vifaa ya kuokoa wananchi kwenye majanga.Nani aliyekwambia Serikali haina vifaa ?
Kama kifaa gani wewe kilaza ?Hakuna anayeongelea vifaa vya kuteka wapinzani, tunaongelea vifaa ya kuokoa wananchi kwenye majanga.
Tulia we πKama kifaa gani wewe kilaza ?
Chawa wa Mwenyekiti unatetea kila ujinga mumuache lissu wa watuTulia we π
Sawa mwijaku usisahau na kunya njia nzimaCCM!
Mimi nitatembea UCHI KUTOKA KIEMBE SAMAKI MJINI MAGHARIBI UNGUJA MPAKA MAJITA MUSOMA KIUMENI MARA.
Ni kweli kabisa πChawa wa Mwenyekiti unatetea kila ujinga mumuache lissu wa watu