Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,284
- 2,817
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.
Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-
View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea
- LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Upinzani inaonekana anafanya kazi na watu wengi ambao hawamuhitaji zaidi ya wanachama wa kawaida.lakini pia hao watu ni Marafiki wa CCM hivyo kuhamia huko hawatamfuatilia
Wana CCM wengi mbali na kuwasema wanampenda na hawana ubaya nae