Tetesi: Baada ya kutalikiana Mr and Mrs Raqey Muhammed, mume ataka kumrudia mkewe baada ya kugundulika ana cancer

Nuru2023

JF-Expert Member
May 2, 2023
465
1,079
Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple

Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero)

Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata kwenye biashara ya chakula

Kwa pamoja historia yao ya mapenzi mpaka ndoa ilikua ni nzuri sana, wamepitia mengi na wamesaidiana sana katika hustle zao mpaka kuwa wa juu... na pamoja wana watoto wanne vijana wawili na mabinti wawili

Mwaka 2023 kulikua na tetesi kwamba mume ni msaliti na picha zilivuja yupo na K mnato ya kiasia (mchina). Lakini wote wakaja front na kusema kwamba wameachana kwa amani na kila mtu ana mishe zake wanalea watoto kwa pamoja

Lakini currently tetesi zimevuja baba wa familia amegundulika na cancer anatakiwa kuanza matibabu na kubwa kuliko ANAMUOMBA MKEWE AMRUDIE

my take:
1. Binafsi nisingemrudia sababu iko wazi anahitaji tu msaada wa mtu wa kumuuguza na sio kwamba mapenzi yamerudi kwa mtalaka wake
2. Binadamu ni social beings, utu uzima huwa unakua mtamu kama ukiwa na mwenza mliyeshibana whether unaumwa au huumwi

Hivyo basi ukiwa unamtaliki mwenzio, hakikisha una mbadala wa kueleweka

Hii tabia ya kuzagaa halafu yakikukumbuka unarudi kwa mkeo anakupokea ilikua wanawake wa zamani, wa siku hizi wana roho ngumu kwelikweli
 
Attachments

  • download (9).jpeg
    download (9).jpeg
    20.5 KB · Views: 10
Umesimama sana upande wa wanaume kukosea na kuhitaji faraja nyingine,unasahau pia wako wanawake wanaotinyanga na badae kuomba nafasi ya pili.Huyo bwana hadi amefikia kuomba hivyo jua anajua shetani anayemjua ni afadhali kuliko malaika usiyemjua.Alafu kumbuka sio kila wapenzi wanaoachana wanakua hawapendani.Mahusiano yanakatishwaga na mambo mengi sana na kati ya hayo upendo kwisha ni asilimia chache sana.Ndo maana kuna wanandoa wanaachana alafu badae wanakulana kisiri siri.
 
Soma kuelewa na sio kujibu

Nenda kwenye uzi halafu quote sehemu ambayo nimesimamia mwanaume kukosea.

Nimezunguzumzia couple husika then nikazungumzia ujumla wake whether ni me au ke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom