Baada ya kushindwa kumng'oa Makonda, Wauza Madawa ya kulevya wachanganyikiwa.!

For You

New Member
May 14, 2017
1
43
Sasa ni dhahiri RC Makonda haondoki Dar leo wala kesho hii ni baada ya propaganda za wauza madawa ya kulevya kushitukiwa na Rais Magufuli.

Kitendo cha Rais Magufuli kumwacha Makonda akiwashugulikia kisawasawa wauza madawa kimewaudhi sana wafanyabiashara hao.

Wauza madawa ya kulevya walizoea kuwashugulikia watu wote waliojaribu kudhoofisha biashara hii haramu inayoangamiza nguvu kazi ya taifa.

Watu wote waliopambana kisawa kisawa na dawa ya kulevya waliambulia kufukuzwa kazi na kufungwa jela .

RC Makonda amewatumbua hadharani wauza madawa ya kulevya na bado hajafukuzwa kazi wala kufungwa jela, asante Rais Magufuli Mungu akubariki sana.
 
Mmmmhh? Una moyo mgumu wa kuandika mkuu
 
Hao wauza ngada bado wapo hapo mjini??

Time will tell about that konda
 
Hao wauza ngada bado wapo hapo mjini??

Time will tell about that konda
Makonda is there to stay! Wauza madawa hawana nguvu yeyote, ni dhaifu sana kama uji wa muhogo. Ungejua kuna wauza nganda kama akina Pablo Escobar waliowahi kuwa maarufu ila walikufa sembuse hawa wetu wanafiki wanaojificha kwenye migongo ya media na wanasiasa kama akina "nilikikuta chama shimoni...."
 
If you are the creator, kweli he or she is there to stay your so called konda

Time will tell
 
Makonda is there to stay! Wauza madawa hawana nguvu yeyote, ni dhaifu sana kama uji wa muhogo. Ungejua kuna wauza nganda kama akina Pablo Escobar waliowahi kuwa maarufu ila walikufa sembuse hawa wetu wanafiki wanaojificha kwenye migongo ya media na wanasiasa kama akina "nilikikuta chama shimoni...."
Wauza ngada ni kina nani hao? Yaani watu wanajulikana kuuza ngada wako Uraiani??!! Uuuze Ngada ujulikane, upatikane uwe Uraiani! Sijapata kusikia watu wa aina wakiachiwa tuuu nasikia huku JF.
 
Alipoingia shimoni kukitoa amebaki huko huko.Si unajua mchimba kisima tena......!
 
Kweli JF ni kiboko. Nikafungua uzi haraka kumwona au kumfahamu tu huyo muuza ngada aliye changanyikiwa. Kumbe hata bla bla tu hakuna?? Kweli maccm mna kazi kubwa.
Mnacho jivuna nacho ni kwa vile hakufikishwa mahakamani au? Wadhani kumchafulia jina mwenzio ni kitu kizuri?? Kama aliwafaham, mbona wote alio wataja hadharani wapo pale pale na zaidi wameimarika?? Mbowe bado ni KUB, Gwaji bado ni askof, Dew bado ni CEO. Wadhani kukaa kimya ni kumuogopa au kumdharau?? Ona sasa, kanywea ka dodoki baada ya kutumiwa
 
Wauza ngada ni kina nani hao? Yaani watu wanajulikana kuuza ngada wako Uraiani??!! Uuuze Ngada ujulikane, upatikane uwe Uraiani! Sijapata kusikia watu wa aina wakiachiwa tuuu nasikia huku JF.
Mauzauza yako hapo sasa! Watu watajwe ni wauza unga kisha wawepo tu uraiani wakifanya shughuri kama kawaida.
Sasa kama ni vita ni nani hapa atakuwa ameshidwa? Hii inaonyesha hapa kulikuwa na lengo lingine tofauti na si vita dhidi ya mihadarati.
 
Back
Top Bottom