Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
32,565
47,680
Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie.

Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi; nikajiapiza, bora anifilisi sasa hivi, ila huko mbeleni nifaidi kwa gharama nafuu zaidi.

Alikuwa anapenda starehe sana, pombe alikuwa anaagiza za bei ghali ili kunikomoa, nami nikawa mpole tu, kwa sababu ukipenda unajikuta unakuwa zoba.

Nikapambana kumuwekea mazingira ya kumshawishi abebe ujauzito, na kweli akajikuta naye ameshawishika; kwa sasa ujauzito una miezi miwili, na alishawajulisha ndugu zake na wakamwambia ni jambo la heri.

Sasa, mambo yamebadilika; yeye ndio ananishawishi tuonane mara kwa mara; mara ananiambia mtoto anataka chakula chake. Nami bila hiyana, nampatia mpaka mtoto atosheke.

Mbaya zaidi, kwa sasa anatoa ushirikiano hatari; anatamani mpaka mwili wangu wote uzame ndani.

Kweli, dawa ya mrembo anayekusumbua; mpe ujauzito.​
 
Back
Top Bottom